Mmiliki wa mabasi ya zakaria ashikiliwa kwa kuwajeruhi maofisa usalama kwa bunduki

Ma ofisa wa usalama wa Taifa ndio watu gani? na wametoa wapi mamlaka ya kumkamata mtu mwenye silaha na kwenda kumkabidhi polisi…? kwaninini wasiite polisi au ata kama walimkamata jukumu la kumpeleka kituoni sio lao tutawamini vipi kama wamemfikisha kituoni je walisindikizwa na Raia wengine??

walikuwa na yao hao wahuni.baada ya jamaa kujihami wakaona ngoja waje kivingine.hahahahaha.

Nchi ya mabunduki na mabastola. Nani kaanzisha mtindo huu? We are heading to be doomed kwa kweli

From nowhere tu mtu aanze kufurumusha risasi?

aisee aliyetunga stori kakosea mno

Haya mambo ya kufuatana labda anifuate rais mwenyewe

Huyu malima anapindisha kama ilivyotokea morogoro aliponyanya dodo za changudoa pale nashera hotel akajikuta kasinzia demu keshaondoka na madola ya kutosha

Hii hadithi inafurahisha. Bilionea kawapiga risasi watu wa idara ya wasiojulikana, kisha mkuu wa mkoa ndio anatoa taarifa ya tukio lenyewe!?

mtu kula samaki sio stor lkn samaki kula mtu ni stor kubwa!

Jiwe limeumbuka na kashoga kake kanakosimamia mauaji ya wanaoenda kinyume nae. Mwaka huu nundu itahamia matakoni shenzi zake na ushamba wake.

Inakuwaje muuza mafuta awapige risasi wateja???..kuna taaruki kutokana na taarifa za kutekwa kwa muuza mafuta!!!..na wanunuzi wa mafuta ni usalama wa taifa!!!..

Hadi sasa sijapata taarifa ya kuamini, hivi inakuaje mteja anapigwa risasa mayb only in Tanzania. Kuna mengi yamejificha nyuma ya pazia.

Haya mambo mbona hayaeleweki, au ndio hakuna marefu yasiyo ncha.

Mambo yao waachieni wenyewe…

Cc: @Mahondaw

Nani atachukua upande kwa mambo ya kipuuzi? Sana sana wenye akili wanajiuliza inakuwaje suala linalopaswa kutolewa maelezo na jeshi la polisi linatolewa maelezo na RC? Wakati mwingine yanafanyika mambo yenye nia ovu na kusababisha watu kuhoji weledi wa wenye mamlaka. Sasa watu wakionyesha walakini kwenye huo upuuzi mnasema watu wanatake side.

Kisu kimegusa mfupa. ingekuwa mwanachama wachama cha uppinzani mngesem anatafuta kick

RC ndio mwenyekiti wa kamati na usalama wa mkoa sidhani kama anakosa kutoa taarifa

Ili nikuelewe vizuri kwa huu utetezi wako, kuna matukio mengi sana ya jinai huwa yanatokea hapo Mara, mkuu wa mkoa anakuwa wapi kutolea maelezo? Au hicho cheo chake kinachagua cha kutolea ufafanuzi? Hicho cheo cha mwenyekiti wa usalama wa mkoa ni kuingiza siasa chafu kwenye taaluma. Na ni dhahiri hata kama huyo Zacharia naye ni mchafu, lakini hili linalofanyika nayo ni muendelezo huohuo wa uchafu.

Hayo majibizano yalikuwa ni ya aina gani?

Majibizano ya maneno, risasi au siraha nyingine?

Mkuu amewatambulisha kama maofisa usalama wa taifa au maofisa wa usalama? Maana kuna vitu viwili tofauti hapo!

Ila yote tisa, kumi hao wote ni watoto wa baba mmoja, tuchukue jembe tukalime. Wakipatana tutaenda kuvuna tupate grease