Mnajifanya but kila mtu ako glued....

ni confirmie kama Uncle Wenger amefika salama . na mbona hio ngombe yake imeva black kwa wedding ?

Wakanda 4eva @Purple

NV hauna mawe ya kukatia dem hapa . ngombe

upus reloaded

Kwani ni harusi ya kijeshi?
[ATTACH=full]171488[/ATTACH]
Harry and bestman William.

gay

ultra gay

The real boys to men.
At their mother’s funeral in 1997 and today at Harry’s wedding.
[ATTACH=full]171500[/ATTACH]

hahaha.am back

Wewe wacha zako…kwani hawa wanaume wengine hawakupitia boyhood

Not in full public and media glare and after the death of the most photographed woman in the world (don’t know if the record still stands?

Mimi nimefurahi sana vile huyo jamaa ameoa kitu nyeusi sasa vile hiyo familia ya inbreds imekua tainted na black blood labda those commoners wataacha kuwapenda hivyo for no reason

kwani ako na black genes ?

Naskia mamake ni mweusi

nime confirm mama yake ni mwafrika . sasa waafrika tumeingia ndani ya royalty Queen elizabeth anakufa next mmonth huyu dem anachukua kiti

Yenyewe unafikirianga kama mende.
:D:D:D:D

:D:D:D:D mathighs tuko ndaaani ya kiti sanaaa hata @Ka-Buda anaweza stroll kutoka stoke city na aingie bukingham palace apewe ugali na skuma bila wasi wasi

Niliacha mtu wa kwangu akiitime nikaona nikakule miwa angalau kutoa hungover

Niaje mchoraji, last sunday but one nilisalimika :smiley:

Or his physique kama Ronaldo