MODS: Kindly Create A Tanzania Forum

:D:D:Dthe group shouting, “remove them” reminds me of mob justice shouting - burn the witch!!! Epic

Roho mbaya gani tena ?
Sasa nimeku uliza swali halali kutokana na malalamishi yako yasio na msingi, kisha badala ya kujiuliza mbona lengo lako ni kupiga domo tu hapa fuaa, ukifuatilia na kutu tusi sisi waKenya…
I say, meffi ya inghoko

Mbona unapenda matusi sana?

Kwasababu wewe ni meffi ya inghoko

Coomer

Humble meffi

Kwanza itabidi wa Tz waongezeke huku maana kule jamiiforums mikenya mingi imejazana kule hadi kero…itaeleweka tu