Mombasa incoming hot

Unajaribu kujivalidate kwa strangers online. Megayawn. That’s an exercise in futility bro. Jibambe na remember to not give a fuck.

Hehehe…nasoma comments… Anyways…safe journey back to Nairobi if you’ll be the one driving…don’t speed(hio gari imekaa japan kwa yard iki chomwa na jua…tires have been grounded for a while as well)… Keep within lane where there is continueous yellow and white line…that’s where makalao pamba wamejificha,…

Most of all say a prayer.

Mkuu

Hii ni internet tu,usichukulie kila kitu serious namna hii.

Pamoja na yote huenda hii Statement ikawa na walakini authenticity yake.Pia inaweza isiwe yako,huwezi ku-prove hapa kijinga namna hii!

Next time mkuu,usiweke kitu chochote kuhusu wewe cha benki au ID au Credit Card,unaonesha una ushamba wa ajabu sana!

broke ass,blowing 20k doesn’t mean you are reach,weakling.

Toyota?

My Gawddddyyy!

Acha kujiaibisha mkuuu!

Ushamba ni mzigo mzito sana.Hamna haja ya kufungua thread kwenye internet kuelezea haya…Maajabu aisee!

[ATTACH=full]163291[/ATTACH][ATTACH=full]163292[/ATTACH][ATTACH=full]163294[/ATTACH][ATTACH=full]163295[/ATTACH] Boss, 2.9M ndio inafanya upige kelele hapa??

You’ve missed the point by kilometres,huku kuna birrionares wametulia bila kusumbua.
Point two and the very important point hakuna talker atakukaribia kulingana na post zako ,huwa unapiga watu picha kisiri unaleta huku, ktalk = privacy ndio hatutumii majina huku , grown-up son ,kungu rubani alikuwa huku akamulikwa akipima watu shonde kwa lab ,hio gari iko chonjo but it’s a killer machine kwa vijana kama wewe.

This forum iko na mambo . Why you posting photos of your bank balance? Thats so ghetto ! Who does that??? Why are you going to MSA to pick a car, doesnt your dealer just do everything and just drop off the car to your house? What car is this now? Toyota Crown ? Jeez! Thought you’re getting an escalade or some other luxury SUV !!! Please come to my drive way, your new ‘hot’ ride will be so out of place, your ego will be chopped back to size. Bloated ego and nada to show for it. Going to MSA to pick cars like a long distance haul driver is now something to brag about? Ati you blow what? 20K ? Am not even going to comment about this.

tangu ukatwe mshahara umekuwa mkali sana

Afande kuja unishike si nimeanika evidence yote hapo

:D:D:D

Congratulation for the new ride…I must admit I am abit envious but am not hatin…on your way back drive safely…

For those hating the guy kuendea gari msa there is always that happy feeling for the first time.
Secondly kupimana mkadas sounds so juvenile.

Poko master Kesha ongea.

Uyu ndio anamaliza mashilingi kwa bank…ati Cash Withdrawal…100,002, 20,002… hizo 2bob ni za kununa chewing gum ama ni za kuverify ni wewe umewithdraw?:D:D:D

Aiseee!

Kwa raha zako kaka wasikuambie!! I’d only be cautious enough with posting hiyo statement online JUST to prove a point.