Mombasani iko chinda

Yani Mombasa mwisho wa mawazo wallah. Lakini utakuta ni majamaa wa mtaani kwa hivyo wasiuwawe isije ikaleta issue baadae.

ahsante…mimi maji yenye napendaga ni ya kuoga tu…iyo ingine ni choka sana. Manze ile mvua iko huku joh