Monkeyhox

Illuminati @Karoga mumeamua kutumaliza jameni.

Hii apana maneno yetu ,hizi maugonjwa ni za end times uliza @Jehovah Wanyonyi atakuja lini …my bet is he will be here before 2100

Chanjo ulimeza ama bado.

Hii ni ugonjwa ya wale watu kwa kuchezea kwa sewage ,Mimi Niko straight kulipo missile ya Musito Putin