MOST INTERESTING MOMENTS IN NAIROBI

sio watu… someone said tuko watu watatu na mkamba mmoja… thats y

jomo Kenyatta and 99 others liked this

Reminds me of my first time kutumia water dispenser. There was a long queue behind me and I stared at the thing for a whole 3 minutes wondering where to start:D:D:D. Watu walinichekelea sana kwa queue. One girl volunteered to assist.

5 Likes

:D:D:D:D:D
.

Kama hujui hujui, na kutokujua sio ujinga.Kuna mzungu mmoja aliketi kwa pit latrine akatoka akiwa na dust kila mahali. Sijawahi cheka hivyo karibu nivunje mbavu.

5 Likes

sijawai pàta stress kama Mara ya kwanza kutumia ATM. sema kuingia hapo ndani nikashindwa kuoperate hyo machine, Plus kuna line kubwa hapo nje wanangoja kuingia, nlisweat ndani ya hako ka cubicle, some lady alifungua kuchungulia what’s happening, ikabidi niombe usaidizi. needless to say I still have a phobia for ATMs up to date

4 Likes

Na zile glow towels humwagiliwa maji zi hukaa ka patco.were it not for the internet nigezimumunya kaa patco…

Hapana bembeleza mujamaa. Mtupie kamatusi kiasi ama namna gani my fren:D

kuna siku nlitusi msee flani @mundumulosi akanitishia nikaacha matusi

hehehehe wacha tu, karibu nimeze moja huko hilton bana

1 Like

sijui kwa nini nacheka. :smiley: :smiley: :smiley:

Hehe

hehe walai hapa nimelearn nafaa kutembea Town

Oya kuingia zile lift ziko na buttons huko nje, sema kutafuta hapo ndani kama muguruki na lift imeshaanza kupanda

3 Likes

hehehe ata mimi imenifanyikia…ilibidi nishuke nearest floor nipande na stairs

Mimi sikuwa najua process Ya kufanya order Ya pizza wala the names of the various…ilibidi nikunywe sprite then nikajitoa.

Iko dere wetu alirarua teabag… Ilibidi aletewe sieve kwa meza

1 Like

Muikamba mwega no uria ukuite

:D:D:DThis is hilarious.

Hizi lift zlinitoa ushamba first time kuzitumia… ilikuwa ikifunguka nashuka napata si hiyo floor nangoja tena…two hours later bado niko in and out of the lift atlast nikajipata ground floor nikashuka nikapigia uncle anikujie hapo

1 Like

hahaha atleast you struggled and tried!