moto wa kuotea mbali

:D:D l can imagine head first alikuwa kama ostrich

Hyo paka nyeuthi ndo ile inaitwa “egesimba” :D:D

Shule nilisoma ilikuwa na pigs, one afte moja ilikuwa inajibamba kwa taka taka, na ilikuwa na piglets, mnajua vile hizo vitu hukuaga cute zikiwa young. Mimi nikaanza kukimbiza moja, it had wondered off away from the mum. Sasa for security kakakimbia towards the mum, kidogo naona piglet mbele na mamake nyuma yangu sisi wote mbio.

Shait! Hapo mbele kulikuwa na mtaro wide, nikaslide nikaanguka and as luck would have it, urefu wa kamba ilikuwa imefungwa kwa mguu ya mamapig ukafika mwisho… Sijawahi sweat ivo.

Hehehe…vipii ni za Mungu. Kuna time vipii viwili vilikuwa vinafight break time kimoja kikashika mwenzake kichwa na kuichapisha kwa mti mpakaa kipii kikapass out. Uistake jua mbio tulitoka na tukajipa shugli na kulenga iyo story.

Ekemoni ekemwamu ekemoni ekemwamu! :D:D

Or handling a simple fracture.

[ATTACH=full]128208[/ATTACH]

Tell me this is not true? Its funny and not funny at the same time.

its true

Must have been painfull for him. Huyo akijaribu kurekebishwa anatuwacha

hio kariaria ndio tulikua tunatumia na feya

Hehehe, the things we have done!
I was following a truck the other month and these 4 tough little chaps (I’m talking 8-10!) who were hanging at the back realised it had not only passed their destination but picked up speed.
They dropped off without even looking to see if it was safe to do so - I’d seen them so I kept a safe distance.
Do you know they dropped off at 70-80k per and rolled into the verge?
I stopped to check and none was hurt, not even a bruise!
Mungu yupo - ukiona sisi hatukudeadi…

Mungu wa ipii halali

:D:D:D:D:D

Ouch!:eek:

:D:D:D:D:D:D:D:D

Na ile vita ya “gutharia njata”. I just remembered how i thrashed a bully akatapika,hio kipii ilkua imenizoea. Mimi i hadn’t taken lunch but since his home was close he had gone for a hot lunch. Kawaida akaniletea hizo ujinga zake, i was very short compared. I knocked him two killer punches kwa tumbo, he bent and I was able to punch his face, akaanguka, i took advantage and gave him more “war” sema kutapika na nosebleeding, i thought he would pass out,he never bothered me again.

Hehehe, you put a bully in his place.
Gutharia njata is nostalgic, ata kabla uifute ngumi ilikua ishaland

@Kihii Kiaganu must have been the first to discover these
“manhood accelerating” qualities of the said plant!

A kìhii is a very tough creature!

Protected by the almighty