Tulipigwa sana when @Jazzman was away…malizana na hiyo magashui urudi job. 4th January is fast coming and we need to know your thoughts for next step of action …
He uses the handle @ksamurai
One more villager with relapses, @Wakanyama the company is here ,Hautoboi
Tupatane Elburgon head in to marioshoni
@gashwin was one of the people who was ingiliaring u @Jazzman when u were on suspended leave…saizi uwezi mwona hapa
Ala! Are you the de facto leader of the dim eyed brigade? :D:D:D
@gashwin is the one who reports pple to the mods + kuchochea so that one gets suspended. His the one behind your suspension @Jazzman…TRUST ME
Wakanyama is a Goodman trust me. …so is jazzman. Only problem in this kijiji is fingwa…huyo tu
Karibu. Tutavuka mwaka tukiwa pamoja hapa ktalk.
KWENDA KABISA SNITCH, UNAFANYA MTU ATUMWE KAMITI ANAUMIA NA BARIDI PLUS KUNGUNI…AKIWA JELA MLIKUWA MNAMCHEKA…SASA AMETOKA NDIO MNALETA MAZIWA YA POLE, hatutaki kamwe
Samehea adui yako jatelo
:D:D:D:D:D:D
My shiny eye heritage is much stronger than dim eye (ndio maana niko molo) lakini shiny eye walinisukuma kwa sababu ya kuingilia jubilee. Shemeji moja akinikataa, si niende kwa yule ananikubali?
Karibu sana kutoka Alaska.
Nimerudi nikiwa mguu chuma, wakijaribu masweep ni hao wataumia
I come in peace
And we are back in class three, sasa umeamua utafunga shule na gashwin?
wewe mungiki shocks nilisema ile siku tutaipatana ntakufunika kibaree wacha vile una tupa tumaneno apa
Asandeni sana for the warm welcome. Kazi inaanza sasa.