MSAADA ILI NIACHANE NAE

Poa usinichomeshe mahindi tu

Poa mkuu.

Kuwa mvumilivu chief tuko pamoja

Tatizo una m entertain huyo ungekaa kimya hata akijileta unajidai kama humuoni ye mwneyewe angejua hapa alipo sipo

Hahahah!! Hatari sana

Akipiga simu unakata, ukipokea piga baadae… lazima ajiengue mwenyewe

Ahsanteni kwa michango yenu yakimawazo ila wikendi hii ntawaletea mrejesho wa nini kilijiri.

Kabisa hata hupokei wala kukata unaacha apige weeee atachoka tu yan unamuignore had ajiulize uwepo wake

Hahah!!

Haijawah kukuta hii???

Hii hapana ni too much ila nilishatengwa ile uku naonyeshwa ushirikiano, ila ni ushirikiano wa roho mbaya nikaona mhh ngoja nikae benchi mwenyewe

Nimemuambia, nimeonesha vitendo lakini still yupo tu.
Niliwahi mtext kwa kumwambia acheki na mtu mwingine maana mie cna future nae, akiwa huko chuoni, nimelala, mida kama ya saa 8 naamshwa na simu, kucheki namba nikakuta ni rafiki yake, ile napokea naambiwa, haonekani alipo. Thanks tu God baadae alipatikana
Tukio hili liliinua huruma na ubinadamu nikalegeza, ili nimvutie uzi lakini anakaza tu, japo anajua kabisa kuwa simpendi na sina future nae.

Mimi niliapa sitakuja mpenda mwanaume kama nilivyompenda yeye sasa me hiyo ilinikuta nikapiga had kwa mama ake mdogo akipewa sim anajibu nini unasumbua ntakupigia baadae ninakazi baadae sichok kunanamba nikapewa nikapiga ananjib dry na kukata sim alinitesa sana wallah namuombea mema sababu najua hatopata mwanamkewa style yangu yan alikua ananiignore had najiona natengwa na ulimwengu wote kaaah

Mimi namuelewa sana sababu situation kama hiyo imenikuta japo baadae niliwwzabkujiongeza nikamove on anakupenda ile hali ya kuachana naye haitaki na hajaikubali akijitambua thaman yake ataacha kukushikilia kama kupe

Sasa hapo kwa yeye kuondoka ndo pana tatizo kubwa, maana ndo kama vile anataka kuwa ngozi yangu, sio kwa mgando huu asee

Nipe namba zake niongee nae kiroho safi atakuelewa

Wewe ni me au ke

Duuh!! Jamaa alikufanyia ukatili sana. Pole sana

Ah nishapoa halaf hakuna kisa nakumbuka alinikera sasa nikaamua tu kimya et kwa situation kama hiyo unafanya nn kama mwanaumr?? Niliexpect aniulize tatizo nn mara ghafla shades za wasap story eh nikasema hatar sasa nilichobugi nikajibu mapigo then kumbe ndio ilikua kibuti for real halaf ilikua bado nampebda nikaanza omba misamaha najiona bonge la mjinga wallah lakini am so happy sababu alinifanya niwe strong zaidi ya strong na nikasema mwisho wa siku life has to go on

Mbona kumwacha manzi ni rahisi sana?