Mtandao pendwa 'tigo 'ndio habari ya mjini!

Watu wana id za matusi humu sijawahi kuona.

Ingekuwa jf hizi id zingekuwa hazisomeki kama id ya Upupu , kafiri n.k

tiGo. Live it | Love it

Mtoa mada vipi hutumii hio kitu?

Dunia imeshavua kila Kitu!

Dah mamae lishuke gharika tu tusepe

Uende wapi sasa?

Sumakuuuuu

Aaah. Aaah. Aaaah.

SUMAKU hatari sana

@Hajar unaona. Finally am vindicated. Nilesema bongo iko sida na vijana

Why wanaita SUMAKU?

Nahisi uvutaji na ukamataji wake

Sasa jirani unathibitisha kwa maneno ya watu tu jirani.

Hebu siku moja karibia Bongo upate kujionea uhalisia wa mambo.

Mzima lakini jirani?

mi niko mzima kabisa mamy. Majaliwa nikipata hela nitatembea Dar, naambiwa ni kuzuri sana .Ila tu nilikuwa nataka kukuchokoza.

Hahahaaa. Usijali jirani najua katika majirani zako mmoja kati ya majirani zako unaomudu kuwachokoza na Hajar yumo Hahahaaaa. Ondoa hofu jirani.

Nimecheka eti hadi ukipata hela, hivyo usipopata hela hutakaa ufike bongo rafiki.

Nafurahi kusikia uko poa aiseee.

hahaha si unajua pesa ni muhimu.

Naskia wanatafuta kunakobana dyudu sana ili wapate joto Kali wajihisi wako nje ya sayari…

Hahahaaaaa. Na kweli aiseee.

Wewe uko dar

Nanga topeni
Na dereva wa mashua lazima akae nyuma

Na wewe unatoa huo mtandao pendwa?

Hahahaaa. Hapana jirani.

Ila ukiwa tayari nishitue tu kuna wenyeji kibao huko naweza kupatia ambao watakufanya usijutie kuja Bongo.