Mtu wa Offisi amenyonga tie na sutti anaingia sonford chips and fish

I would rather he eats plain chips that he can afford so that he can keep his kids in school or whatever project he is working on sans taking loans.

[MEDIA=giphy]pPhyAv5t9V8djyRFJH[/MEDIA]

:D:D:D:D:D:D

Umbwer wewe.Mtu hujikuna afikiapo.Heri yeye anakula jasho lake wewe kazi ni kulishwa na single mothers huko.All you can bring to the table is your fucking withered hanging balls.Get a life sissy.

Angekuja na pampers na vest ama?

Hawa watu wa MKU Town campus wanasumbua sana. I hope you are the last born in your family

Someone please call the medics waokoe mwenye hii post. This post has been unanimously closed by way of TKO:D:D:D. Owner has left group
https://s-i.huffpost.com/gadgets/slideshows/298267/slide_298267_2469989_free.jpg

Story ya toothpick inanikumbusha when lecturer wetu took us to some joint pale westlands market kututreat to Nyamchom…jamaa ikaenda MIA tukanyimwa toothpicks ati hio nyama imekwama kwa meno ndio effidens…:D:D

hio pumbaff ni cashier

Mens wengi ambao wanauchungu na hii thread ni wale uenda sonford. Zilikuwa huko leo… Mwezi iko corner… Waelewe

This is the most childish post I have seen this year. grow up you are a disgrace to this forum men are about fending for families and utilizing any opportunity to save chapaa all these vibanda za industrial area clients are peoples in suits . This photo is for longtime ago papersbags where banned.

huyo jamaa i guess alikuwa anadondokwa mate before hata aserviwe, he was not starving he was craving for chips kavu.

:D:D:D

The level of pettiness and stupidity in this thread is sickening. I thought dramas and pettiness were a reserve for slayqueens and women, kumbe iko mtu kazi yake ni kufanya lifestyle audits za strangers hadi anapiga picha.

so unatakaje brare fucking.

umeffi sana

Ungemwambia atapata maugonjwa za lifestyle haraka mno akiendelea namna hiyo.Hapo ungemsaidia ata kama najua anajua.Sasa unapiga kelele na ni pesa yake alikuwa anatumia.

:D:D:D:D:D

Tumbo haitambui tai au suti brare nugu

Third trimester?

Sanford is a nice place.