MURATHE

:D:D samavicom

:D:D:D:D
Shait.
Vile mtu amesema hapo juu, Murathe = @byro.
Nimecheka, hata kama Safarichieth wamesink gunia moja ya kitunguu…

leo umeniamulia na sweeps

:D:D:D:D:D:D

Kuweka acid kwa chupa ya kibao ni crime, je kaa garagaria Angeonja?

angekua 6ft under

hii merger tutaipea jina gani
https://scontent-mxp1-1.xx.fbcdn.net/v/t1.0-9/18157488_10155002371990306_3109427459942174603_n.jpg?oh=62e831f2539cf5d1b974714d86415b34&oe=5998FBE9

[ATTACH=full]96299[/ATTACH]

nimetoka kumpa Murathe pole na ako poa, anasema Mungu alikua anamuita akakataa kuitika.

ati alikataa kuitika

Hehehe, mungu aki kuita uitike wewe ni history

:D:D:D:D

Umenikumbusha vile a great friend of mine aliangukiwa na container huko embakassi akatuwacha tu hivyo some two years ago. He was a great friend of mine mwenye alinionyesha Nairobi

Pole sana bro

hekaya ya kweli

acha zako concentrated acid hawezi survive

Amesema alinusa hakukunywa

soma hekaya vizuri

Hekaya on point…

Murathe has finally been deported to Mushatha, lakini Nimeweka bet he will be back in a month.

:D:D:D:D:p kama anapata slices atakuja route 11