eastlands wapi?
In my hood kuna jamaa amechora wasee watano na hii biz … I am certain he makes more than 5k a day.io base kwanzia saa saba inakuanguanga busy hadi 8:30.
Huyu ni mtu najua sana personally
It might be more… Mwenye najua ameajiriwa wakiwa wengi in a such a place yeye huniambia on a good day anaweza pata more than 5k… Na ni wa kuajiriwa huyo… Kwa ivo owner anapata kitu safi sana
sema ni wapi nivisit
Kenyatta Road apo kwa macontainer
5k msee wakuchorwa!! Uyo anakuchocha.
Uza tu vichwa 1000 in a day. That’s 250K per day. In one week majamaa watakuwa wamekujua so unauza 10000 vichwas per day, hiyo ni 2.5M kila siku. Sasa nunua pikipiki 34 za kuendea customers. Ukikaakaa ununue pikipiki zingine 37 za kudeliver vichwa ama ni viswa
na kuuza vichwa zenyewe bila kupika?
uko na slaughterhouse ama unataka kukua broker?
broker
Maybe… Mimi sijui… Lakini ako na pesa mbaya sana… Amezoea kunituma kumnunulia vitu town na ye hunituma na 15k+… Saa ingine vitu zinafika ata 20k
Hapa hajahesabu miscellaneous expenses kama Transport to kichinjio, rent, storage, free kachumbari, makaa, etc. Those make all the difference.
salt, electricity, firewood, makaa, salaries etc
Biashara iko na pesa lakini in a very busy place where hustlers fluent. There are still expenses hapa na pale
I testify to this. I used to operate a similar business a while ago. Used to sell mutura, liver, samosa and soup. Used to make not less than 2500 per day. It’s a good business if you are consistent, have a ready customer base and are able to get the raw materials cheaply
where did you source them? why did you stop? does the location still exist?
It was far in Laikipia county
Mtu wa Rumuruti