Mwalimu Xuma Karejelea kijiji chake!

Tupo mwalimu. Karibu tena kijijini, twasubiri somo.

1 Like

Karibu sana Mwalimu, ulikuwa umezama sana nikaanza kushuku ni kama ulipekuliwa rununu ya mkononi, sasa ilibakia niite mkutano kuunda kamati ya kuchangia angalau upate mulika mwizi:D:D

1 Like

Kukojolea

1 Like

bila kuboronga wasaa, tusimulie ngano na isiwe ngano za hayawani (cia irimu)

1 Like

Kama hakuna mbica hiyo kuzuru sehemu mbali mbali sitambui! Rudi ulete effidence…

Welcome back @xuma

1 Like

Karibu.
Saidia mimi na jina sahihi la neno carburettor. La sivyo, rudi tu.

2 Likes

Simu yangu ya rununu ilikuwa imedukuliwa kaka.

Shukran. Somo laja.

Yaja kaka.

:eek:…eti nirudi tena? Nikilikabili swali lako, Carburetor ni kati ya majina yaliyotoholewa moja kwa moja kwa lugha ya kiingereza. Huitwa ‘kabureta’.

Safari na sehemu nilizozuru zilikuwa za ‘wasiri’ yaani ‘confidential’. Kwa hivyo utaniwia radhi kaka.

Huyu bwana @Marty McFly ana machungu juu hajashinda KCr ambazo mie ndiye mweka hazina Rashmi wa kijiji

1 Like

Nikii? Getagwo KABURAITA… @introvert you shudda asked.

Eni.
Thegiu muno.

……ama 'kafyureta’ hapo ‘grogon’.

Maneno uliyoyahimiza naona yametumika inavyostahiki. Hiyo “no ngamani” pale mwisho yaweza ikawa ina mushkhil kidogo, lakini mengine yote yako sawa.

1 Like

…ni ngamani.