Mwenda Tezi na Omo Marejeo ni Ngamani

Wapenzi wa lugha walikukumbuka mno. Ulitoweka pasi neno lakini haidhuru, umerejea nyumbani. Usiduwae kwa ukosefu wa vifijo, mafua yamebadili sauti za mabanati kuwa mikoromo.

Kaka naona umewakilisha vilivyo!