Mwife wa Ule Mluhya Alidishy Ule Mtoi

First cousin once removed hainanga wasiwasi

Mtoi wa Sister ya mama clichy ni msap hawana blood relation na uwes.
Jama anaweka Supergirl season 3 episode 8 kwa TV na anachukua valon na anaingia job

Double decker (yenye hawakutumia for some reason) ndio hio hapo kwa background

That rubble was in Baringo when I was Head of House

Seriously Owuonda? Alikuwa anaitwa nani?

Shit! Ayoyi! Alikuwa kijana barobaro ma ruj-ruj yeye na wakina Kareithi.

post nut clarity is a bitch:D:D:D

Upussss

Nani amekuuliza?

Deal na madede zako kwa nyumba yako ukiwa na hizo midget hands zako LMFAOOO :D:D

ii comment iko na weight mingi.

PATCH???

Hauoni Owuonda hapo anaongea maneno ya BARIII?

Reality ilimchapa manze. Guilt…but i wonder how the clip leaked. Never ever leave evidence of your evil doings

Wrink ya hio clip elders?

Hahahaha. Luanda Magere unanionea hivyo Kwa nini?

19

Ataenda chama kweli?

Yes, Ayoyi…