Mwingine (chadema) ajeruhiwa

Daah:oops:

Sasa watu ndio wanaamua nani afe na nani aishi na eneo la kufia ni wapi…??

Bashite atamaliza watu jamani huyu siyo wa kumchekea.

http://www.jamhurimedia.co.tz/mwenyekiti-chadema-ashambuliwa-kwa-mapanga-na-mishale/

Chanzo na tatizo ni nini?

Cc: @Mahondaw

Naomba ulete huo ukweli ili uje uwathibitishie hawa wanaoropoka ropoka na kuhusisha na chama chako