my first hekaya

Nishawai post hekaya venye @jumabekavu bullied me nikiwa mono.

1 Like

Then you transferred to chuka, Maua, chogoria or Tharaka

Handle yako ya kawaida,[SIZE=1]hapa hakuna n.v ,hekaya 10\10[/SIZE]

1 Like

hehehe. hapana. Taita mpaka form 4

1 Like

Hapa nimekataa hakuna n.v

@chief lieutenant = @Meria Mata the flow is the same.

1 Like

i am a NV, hekaya ndio nilianza kusoma kitambo kiasi

3 Likes

asanti sana.

1 Like

:D:D lakini as the dominant party.

2 Likes

huyu sio NV @pamba fanya uchunguzi ntalipa

4 Likes

Hekaya Category A+. @Kasighau na @kush yule mnono wamepata compe.

3 Likes

admin pea hii noogle zile kcr zilibaki na pia certificate kama zimeprintiwa ama bado unagoja alugurai?

4 Likes

pewa like N.V fake. Hekaya imewesa!!

1 Like

:D:D:D nashukuru kwa A+

2 Likes

Asanti sana, but still me ni first timer hii mtaa.

:):)certificate ikuje

hekaya swafi, sasa wacha tukutumie 3k ukakamue @Female Perspective na ukuje na picha za kusefisha sisi mecho

2 Likes

Hekaya mufti NV. Ziendelee kukwom

4 Likes

Nice hekaya.

1 Like

karibu nice hekaya naona umeepuka kupewa kiti…

4 Likes