My W(h)oes

Pewa like awsome read.

Hakuna kitu mbaya kama mwanamke anajua hawezi shika ball, akiwa kunguru anaeza gawa kijiji nzima.

Eish. Boss, uko na roho. Lady mtoto ni mmoja, bila matarajio ya mwengine na bado umempenda tu unamsitiri. Ikifika hapo kwa sijui amtolewa nini na nini, mimi nnaanza kumea miguu tu mdogo mdooogo…kwaheri chepchumba. kongoi.

I haven’t seen nothing yet in life, God lead my way.

Kunguru ni kunguru tu…
yaani unaitafutia periods zilikopotelea na bado inakuchezs…

Bana wee

Love is endurance my friend until shit happens

Kweli wanaume hupitia mashida!

Hii hekaya nimewai isikia mahali, lakini iko sawa…

pole kaka

real shit

Stuff like this makes me scared of settling down. Na venye some lass is pressurizing me ati ananipa 2yrs nimuoe or she will conclude that siko serious na yeye. Gai pole mblo. Iza sana. Men go through alot

Kama humtaki nipatie thru pass mblo

Uuui ngori

:D:D:D:D:D:D:D:D

Follow your instincts, every woman is unique in her own way

This happened to me nearly ten years ago, uliiskia wapi?

hatuwezi kutupa nyama kukiwa na mascavengers,he he he,ukipika huwa inatoa maji kama shiet,unakaranga lakini inakaa kama unaboil

Have you noticed huwezi pata umbwa ama paka imekanyagwa na magari za Juja Rd. Alafu ile pilipili iko kwa hizo dingy vibandaski, wacha tu. Huko ni base ya walevi, wale wanakunywa ile chang’aa inapikwa hapo kwa maji chafu ya black

lakini kulingana na biblia hii ndio namna ya kudeal na such a woman.
[SIZE=7] Numbers 5:11-31 New International Version [/SIZE]
[SIZE=5]The Test for an Unfaithful Wife. I guese it happened to her without you even trying[/SIZE]