Nahitaji mwanamke mwenye sifa hizi.

Mm hata WA Kenya Poa tu. I love all.

hawa wa kwetu kenya ni kuvumilia tu…wajeuri sana.

Hahahaaa. Wacha weeee sifa zote hizi ni kwa warembo wa TZ tu. Aiseeeee.

Mie tayari bana jirani. Teh teh.

Kipi hicho bibie

ha jirani,hizi sio sifa tu. ni mambo ya kweli… ila mtuambie ubaya wenu sisi huku kenya hatuuoni

Hahaaa. Na hujakosea jirani hayo ni mambo ya kweli kama usemavyo na ndio tulivyo sie wa TZ.

Hahaa. Hatuna ubaya sie jirani. [emoji85]

We si ulisema bikra yako haikufika chuo!!..means chuo ulienda

kigezo cha pili sina aisee

Nina vigezo vyote lkn tatizo siku hizi nimekuwa chiriku…zamani nilikuwa mpole mwenyewe siongei

Hili pia ni tatizo

Kwani jirani

Wewe si uko single? Karibu bado sijapata.

Hapana siko Single jirani nishawahiwa mie tayari.

Fine, nimekukosa, alafu jirani wewe unaonekana kama vile mweupe, rangi ya mtume, Originated from Somali land.

Kipi

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Watu hamsahau

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapo ni sawa na kubeti kombe la Dunia huko Russia

Tena kubwa

Mkuu asiyechoka mapema kwahiyo unataka sex machine

Hapana, nataka mke. Ila mm sichoke mapema na napenda sana kufanya mapenzi.