Nairobi show (as we knew it)

tatuu na ile kichwa bila mwili ndio zilikua zangu.Ile siku nilikuja kujua ni kioo huyo mujamaa amejificha nyuma ,nilifeel same after WWF ikue WWE then nijue ni fake.After ikakua DS manenos,mjuols ilikua inatumika kama dip stick pale Ayany estatae kwa cuzo mbig,nilikua na zile membership card ka mbili kila year,naingia nachota,mbio hadi kejani,kanyaga stuff,rudisha yeye na card,chukua ingine…repeat.It was 6 days of fornicating.Oh yeah,nilikua napenda kuangalia tractor display na ile base ya kenya marine iko na ka model train,i was mesmerised.sijaingia show karibu 14 years.i hope bado iko poa

Hiyo kichwa kwa sahani ilinisumbua sana…

@Tom Bahao hehe

[ATTACH=full]198411[/ATTACH][ATTACH=full]198412[/ATTACH]

Crazy shit:D:D:D

Kulikua na DS halafu na Omega1 discos. There was a gigantic dancing dolly between dem discos. That was where i was stuck nikishangaa if the dolly was alive. Sikua nimekua jambazi wa kuingia disco na kukata maji yet.

:D:D
Mliona ni ‘mariamu’ imetoka juu

Hio ya kichwa bila mwili na mermaid niliingia nikiwa class 5 then I relized ni upuss hata heri hio pesa ningelipa kwa merry go round

this one:mad::mad::mad::mad: ilinikanganya ile haiko.Disappointments years later