magreb:
Siku ingine kwa harusi ya cousin yangu pale Stima Sports Club nilipewa kazi ya kurukisha wamama wako na mimba na watoto wadogo line ya chakula. Things were moving smoothly with everyone orderly and keeping the peace until some two babes wako na vitambi wakatokea. Now in my role, nikafikiria wako na mimba nikaenda na smile yote kuwavukisha to which they were glad. Ngori ikatokea wakati walifika huko mbele ya line wakapata wamama wako na mimba. Hao madem walinitusi matusi mbaya sana for thinking that they are pregnant na tumbo ni za pombe. Na saa hio raiya pia inanisomea kwa nini navukisha hata watu wa utambi. Eventually I said f**k it and walked out leaving everyone to their devices.
How do I explain why I’m laughing ovyoovyo?

kwani unakaaaga watchman…
Clubs zinatumia sana pale social media… Watu wako na birthday pia hudandia free pro photography win win… Kama uko na bibi ya wenyewe kaa balcony ama VVIP.
ha ha am a sinner, hii kitu nilikula last year hapo feb
magreb:
Siku ingine kwa harusi ya cousin yangu pale Stima Sports Club nilipewa kazi ya kurukisha wamama wako na mimba na watoto wadogo line ya chakula. Things were moving smoothly with everyone orderly and keeping the peace until some two babes wako na vitambi wakatokea. Now in my role, nikafikiria wako na mimba nikaenda na smile yote kuwavukisha to which they were glad. Ngori ikatokea wakati walifika huko mbele ya line wakapata wamama wako na mimba. Hao madem walinitusi matusi mbaya sana for thinking that they are pregnant na tumbo ni za pombe. Na saa hio raiya pia inanisomea kwa nini navukisha hata watu wa utambi. Eventually I said f**k it and walked out leaving everyone to their devices.
I remember you. You were in a grey suit. Si ndio?