Nani unam-miss kule JF?

wote tuu maaana kila mtu alikua anaakili yake iliyopitiliza

Wana lumumba wote

wajinga wajinga wote. kwakweli nimeuona umuhimu wao daah

Umemiss kuchwambwa eeh

Siku hizi sijui wanapatia wapi buku 7 maana JF ipo gizani, nimewaona wachache humu

Wanajipanga maana wana tawi lao la mitandaoni

Kwa hizi habari zilizozagaa watakuwa wamezipata, ngoja tusubiri watakuja tu

Wanasubiri ruhusa ya mwenyekiti na mhasibu ili asaini cheque ya posho

Nimemiss anavyowachamba vidume

Na wapokonywe akili kwanza:p:p:p:p

Mwambie aje apambane na kiswahili cha wakenya

Watakuwa wamepata habari kutoka BBC Swahili maana jana wamekunukuu kabisa na kuweka ID yako

Ningekuwa nina mawasiliano nae ningemuita. Akuje kutuchangamsha

espy na Heaven Sent hawapo humu?

Muda si mrefu atapata taarifa maana vyombo vya habari vimeanza kuripoti ukimbizi wetu huku

Ontario vipi?..kashafika?

The list hayupo humu jamani?

Ila hili neno villager linanikwaza sana. But why?

Nadhani bado

Malcom lumumba