Naomba usaidizi-Natafuta powerbank ya maana

fastchage huokolea, mimi siwezi nunua simu aina fastchage tena. siku hizi siwezi acha phone overnight ikichage. unaamka unaconnect simu by the time unamaliza kuoga na breako simu imeajaa

It has never happened.But to be on the safe side i always have a USB C cable pale kazini incase i need it.Infact kama jana my phone was at 32% at 9pm usiku.

ya 5v for nomal charge and 9v fastcharge

Anker Powercore 20000mah lakini itabidi umetembea huko amazon

Atembee Westlands pale Sweech , parking iko .The power bank is listed as available. https://sweech.co.ke/product/anker-powercore-20000mah-portable-charger-power-bank-quick-charge-3-0-a1272/

1 in stock :):):):). Wacha ni call Sweech and book.

hatuwezi tumia infinix ata uipigie debe namna gani. my niece keeps rebooting her bigass infinix kimekataa kuingia net. hio ni maisha gani

Ningeongea mbaya about your so claim that you ‘owned the first USB-C phones released worldwide,’ but you will attack my ka iphone after I forgot to remove metadata from one of the pics I posted. Io tu, otherwise on that claim kalisha matako chini, we (birionnares) also owned the first mercedes s class released worlwide na hatusumbui.

hizi ni infinix gani watu hushinda wakilia na mimi yangu haijawai nisumbua

Meditek Hoiyee … Anyway natumia Lumia 950 Dual Sim.It has everything that i need and at fraction of the cost.

Ndio hii picha
[ATTACH=full]104203[/ATTACH]

This USB-C post of mine was made more than a year ago

https://www.kenyatalk.com/index.php?threads/usb-type-c-cables.21716/

Now wank to that

@paparazzi ndio hii OTG cable pia
[ATTACH=full]104206[/ATTACH]

[ATTACH=full]104209[/ATTACH] Lol sawa, but still that quote ya you were among the first person to own a piece of plastic

Comparing phones ni upuss ya watoto wa high school. Some of these phones mnaturingia hapa @Deorro tunaeza nunuaa cash money tukitaka, ni vile they aint worth it.

Nani ako na 35 acres of land hapa we start flexing muscles??

usiringe na mali na inheritance saitan

hehe. Ningekuwa na inheritance kama hiyo singekuwa hii kijiji ya peasants.

Had to step in vile mnachafua thread ya powerbank na tufight twa ujinga za who owned sijui what phone first. Hii thread ni muhimu juu im following it closely.

kama uko na 35acres na uko at miaka 30 labda ikue ya inheritance ama ikue ulinunua huko Kuresoi or Marigat kwa akina @Mundu Mulosi kwenye acre moja ni 10k:D

Matwae mbola kasee. Uyu nula nitaa kusyokewa mundu ayiana. Kushindana juu ya simu ni upuzi.

What’s the price?

I fully agree…

Unakuwanga na machungu sana ukiona watu discussing vitu hauna. Tulia kwa hiyo 9-5 yako u will make it one day.
I suggested to him anker and suggested Sweech store for him plus gave him a link. I gave him links to read why he should be careful when buying usb-C accessories but you choose to ignore all those and focus on the other convo yet I gave the best advice. Mimi sikufrustrate life yako buda, hiyo Peasant life yako kalia bila kutusumbua