Nape anawahadaa Watanzania!

Atabaki kuwa mbunge Wa Twitter

Mimi nadhani hatujamwelewa vizuri, na hatuelewi mazingira aliyoko. kuipinga CCM wakati uko ndani ya CCM daima imekuwa ni jambo gumu. lakini ni hatari zaidi kipindi hiki cha JPM. Hivi kwa mfano Nape akihamia upinzani, nina uhakika huko kwake bado watamchagua. lakini je, chini ya serikali ya CCM watamwangalia tuuu? siyo watamTundu Lissu? na kwa utaratibu wa uchaguzi chini ya JPM, wanaweza kuwavuruga mawakala na akaukosa ubunge hata kwa kuhamia upinzani, zikawekwa kura feki, yaani wanam-Kinondoni. JPM ni hatari sana sana kwa taifa hili. haijawahi tokea. na kila siku anazidi kuota mapembe na kucha zinazidi kuwa ndefu.

[FONT=courier new]Ninachojua tu ni kwamba kuna siku moja huko mbeleni atatokea ’ Mwekezaji ’ anataka kuanzisha Chuo Kikuu cha ’ Wanafiki ’ nchini Tanzania nadhani hawa Watu wawili akina Nape Nnauye na Zitto Kabwe watafaa sana kama siyo mno mmoja wao kuwa Chancellor na mwingine kuwa Vice Chancellor. [/FONT]

Umenena vema.

Anangata na kupuliza

Hivi Zitto Zuberi Kabwe alipiga kura ya [SIZE=7][COLOR=rgb(65, 168, 95)]ndio[/SIZE] au [COLOR=rgb(85, 57, 130)][SIZE=7]hapana[/SIZE] kwenye kupitisha bajeti?

Wapo kama 5 hivi; inadibi wapenyee labda kwa tiketi ya TLP 2020.

[FONT=tahoma]Wanasiasa sio watu wa kuaminika hasa wa nchi zetu za Kiafrika.[/FONT]

Siasa ni mchezo mchafu…

Cc: @Mahondaw

Heri yangu mimi sijawahi kumuamini hata mara moja

Bavicha wanatuambia tusiwaamini wanasiasa lakini wanamwamini Mbowe kupita malezo

Kwenye kura amesema ndio pesa ziende serikalini