Natafuta mke wa kumuoa nipo single

Hujawahi kuachika mkuu.?? hyo sifa wadada wengi hawana

Niko fresh kabisa kama samaki ndio nimetoka ziwani

Umeshapimwa na urefu kabisa au siyo.? basi wewe unafaa, ila huyo kijana mwenzangu si ndio ulisema wale wa baada ya Chali kimoko.
Nipo chaka natafuta Dawa

Ngoma ya kikuyu unaweza cheza nikutafutie bibi moja ya dadaab

Ndiyo kikubwa maelewano nipo tayari

Unatafuta mke kutoka Tz au Ke?

Halafu ukisema huyo atakayekuwa mkeo kama sio mkiristu awe tayari kukufuata, akufuate mkienda kanisani bila yeye kubadili dini au?

Ok, akubali kunifuata nilimanisha Abadili dini

P

Popote akiwa anaishi nipo tayari

Kila la kheri

Mke wa mtu sumu

Umeonaee

Watakuja tu kaka usijali

aiseeeeee

Bado kuna waowaji kumbe

Watoto wanavyozaliwa wazuri kila siku bado mnamawazo ya kuoa??

Bado iko kwenye makaratasi kabisa eeeeh mpyaaaaaaaaa

Masharti ya elimu yana faida gani?

Watu kama nyinyi vigezo vingiiiiiiiiii wenyew MNA masura ya ajabu kama majambazi

nakufatilia kwa ukaribu kweli.

Mwenye ako na sura ya ajabu kama jambazi huyo ndio MWANAUME sasa unataka sura mzuri kama ya DADA YAKO ili utongonzwe?