Nauliza GUDUME yupo humu?

@Sigara Kali, nakumbuka na ile ID yako nyingine ya @Balimi ndogo

Gudume anapiga misele mitaa ya BongoForums, kwa Mwanakijiji…

Kuna mwenzie wakuitwa mbalizi1 nae story nyingi sana hasa za kimapenzi

Nimekutafuta saana

kwanini tena jamani

wemzee sasa ivi utakuwa inteneshno hakikisha unaiwakilisha nchi yako vivuri

Usingesema kuchamba sikumtilia maanani ila hilo nenondo nimemkumbuka,atakuwa anastress sana pakutolea hana

Mtafute basi aje atoe povu huku

Hajafika nahisi anapata @Sigara Kalii ndio aje…:D:D

Tanzania hatupo kwenye World cup

ha ha ha ha…

Ndio wewe unayeuliziwa?