Ndoa nyingi zinazofungwa sasa ni za kishirikina

Wanaoliwa na kuachwa ni wale wanaobana ati mpaka umuoe… wanatangaziwa ndoa wanachanua wanaliwa na kuachwa…

Wale wa namna hiyo wa kukukalia uchi makusudi ofcoz wapo mawindoni wamejiandaa… wanajua wanachofanya…

Cc: @Mahondaw

Sana…inaitwa gusa unate

Hawa hawawindi ndoa wanawinda PESA…

sipati picha kabisa

Mwambie kizuri ale na ndugu yake Tanganyika sote ni ndugu:cool:

H

Hahaaaa…

pia matangazo yameshamiri kwel huko barabarani

Hataree…

Nigawie na mimi bhas

Ina maana wateja wapo

lzm watakuwepo sababu kila siku yanaongezeka, kama wasingekuwepo yangepungua kbs

Hujambo bebi

Dawa ikiisha utamuona mkeo kama dume mwenzio…

Nitatafuta mchepuko tu maana kosa lake atalijua

Hapa utakuwa umemkomoa

inna

cc @Smart911

Hahah!!

Hujambo beb

Wa bongo mna mambo. Yaani mtu anaenda kwa babu kufanyiwa mazingaombwe ndo aolewe.

Kama ni mtamu nitarudi tena.