Necessary evil

Pombe ni mbaya…

Brownskin

Mbona ulingoa thread

:D:D:D…Honestly,mtu hawezi vumilia masweep za online strangers anaweza piga nani!!! Drop the bullshit story already its morphing every time you tell it. Its fucking ridiculous.

Cheza chini kama foundation ya I&M

Kuna mtu alii-haria akanikasirisha sana. I have a short temper. Hiyo nyang’au nikiipata kitaeleweka.

It’s all in good fun lakini jamaa amecatch he has a tendency to delete his posts whenever shit doesn’t go his way.

We all know wewe ni 2kgs of pure brown goose fat unaweza tisha nani?

Dude I am 72 Kg

Ningeomba @Mrs Shosho apitie hapa…she knows what to say

Difficult to comment as naona kuna mtu in between the responses ambaye nimekulisha block…:)so wacha ipite tuu.

Uongo ni mob tu kitambo tukiwa club vibe ikasha ingia unaambia msichana uko na wine expensive kwa hao kitu kama Richebourg Grand…you convince her muende kwako a taste…akifika kwa mancave anapata tu ni chupa za bond 7…she cant go back.

:D:D Reminds me vile msee akiwa campo mnabuy mzinga expensive semester ikianza but hiyo chupa hutupi. Semester ikisonga mnabuy Bluemoon mnaweka hapo ndani mnatesa. So madame wanadhani wanakunywa mzinga ya maana kumbe ni Bluemoon :D:D

Utapata psycho atapiga nduru kwa apartments utashanga

Mi yangu ilikuwaga kutengeneza Amarula. Na mix glass moja ya maziwa na drinking chocolate then naongeza bluemoon mzinga. Chupa ya Amazula was always on standby.

Saitan usitubebe kimandazi ivo… if you expect us to believe this bullshit wewe ni mjinga kupindukia.

Kwani huwa unadoubt kila mtu na kila kitu ni kama mlisoma pamoja. Not everyone lives a blank life like you mason, so kila kitu kwako hukaa fantasy. :D:D

Mimi nakumbuka tukiweka kibao kwa chupa ya gibleys na kuita madem

Nope, ukimix maziwa na makali inakua mala.

Try that formula kesho and let me know. Works like magic

[ATTACH=full]264444[/ATTACH][ATTACH=full]264445[/ATTACH]