nganya music mixes

VIMEO.COM

Search local mix , kenyan mix or dj name… ziko huko mob .

Kuna ingine ya roots niliskia kwa mat nikitoka hapo Public service nikauliza dere ni ya nani,kunieleza nikatafuta nikakosa,ilibidi nimuombe flash nicopy kwa laptop,aliniangalia kama ameona chizi lakini alikubali shingo upande,nikamdunga mia nikapiga chochoro unyoya

Ukitaka za roots nawezakupa,nina kama 300 mixes za reggea na roots kwa Hard disk