nguvu za kiume

Bao La Mkono Ukilizoea Ili Ni Nuksi Mno Katika Maisha Ya Mapenzi Na Kwa Maelezo Yako Kwamba Jamaa Miguu Inachoka Yote Ni Madhara Ya Punyeto Hakuna Jingine Hapo

Labda Kalogwa Nadharia Hii Siiamin Sana Maana Huwa Inafanywa Na Wake Za Watu Kwa Waume Zao Na Huyo Sio Mume Wa Mtu

Hahaha… mpaka unajifungia bafuni ati nikuache kwanza… kaone kwanza kalivyo kazuri…

Hahahahaa!! Hapana CHAPUTA hajamwasili kabisa. Jamaaa anaomekana ana mchepuko kando tu. Kwa msaada zaidi njoo PM fasta.

Chaputa ni chama kiharibifu sana kama ccm tu

Si kweli

Acheni kuisingizia CHAPUTA…

HUYO JAMAA MZEMBE TU.

Uko vizuri

Kwa nn

Unaonekana unajua mengi

Doooh hapana najua kiasi jaman

Ahsante. Inatosha. Wengine hatuna hicho Kiasi!

Hahaha siamini

Jiamini. Mi binafsi sina. Ndio nimejifunza kwako

Hahahhahahaa sitaki