ni wikendi

shiny eye tings

naskia wakisii munakulanga maiti ?

allan wacha ukumbaff

Ukilewa ikulemee hivyo, it’s time to quit.

Omwami Johannesburg kuko aje , najua uko kwa muhindi hapo

Kabaridi tu na manyunyu kidogo.

nitafutie kamomo kazulu hakana mdudu

Ndio ukaambukize…:cool:

Nimeingia hapo FBank juzi kucheki mbonathi sikufaulu. Too long queues, na mvua kila saa.

My exact thought!! :D:D:D

:D:D:D:D:D:D. Chini ya kanda ya mshipi.

[ATTACH=full]136653[/ATTACH]

:D:D:D:D:D. Bonus is real.

Ata Mimi nishahama kwa mlolongo weigh bridge , apan tambua peasant truckers!!!

Ambia daddy nimeenda kuvuna mahindi.
[ATTACH=full]136658[/ATTACH]

:D:D:D:D:D:D:D:D
Wewe ulirogwa na maku.

:):):slight_smile: niaje mamii

Niko fiti papi.:):):slight_smile:

:(:frowning: