Nifanyeje kuwaita watu wangu kule JF

Nime miss wananchi wa jukwaa lile pendwa:
Ambiele Kivele, Fimboyaasali, Castr, Da’vinc, kayman, tater, Naisajuki, mgrik ,patrickn na wengineo

Polee shoo

mi napishana na my dada @Ukhuty

anhaa watakuja usihofu

Nakuona mtani, umeshazoea “kula kwa watu” hahahhahahaahahaah

MTANI UNANISEMA KWA MAFUMBO:p:p

tehe tehe tehe

You can inbox them in JF.

Ahsante sana

Karibu.

halafu wewe;):wink: