NIL Returns Filers

No. I do not work there but this is from personal experience.

That is the day Middle Class will wake up to reality and support peasants.

Huduma Hujuma number ndio problem

Individuals has been lowered to 2k. Companies ndio 20k.

@BigBoy leta hiyo kitunguu ninukishe.

wachana na watu waendelee kukaa kwa cocoon mpaka wapatwe

Thanks for the correction. But then that is the minimum. If they catch you and find out that you actually had some income, the penalty is on the unpaid taxes and not the 2k if it is more.

Nikuulize,unatwambia ndio?

Funga macho yako. Usisome!! Halafu you can bury your head in the sand. It is alright!

naona servers zilimaliziwa.tax avoidance experts watanukisha vitunguu mbaya.

Fyam sana

Mwalimu over Easter nilichukua hiyo huduma number pamoja na my nun, alter boy na alter girl.

Whoaaa! Hapa hakuna mchezo.

ni poa. wenye walikuwa wanachochana hapa walikimia ki!:D:D:D

:D:D:D mimi saa hii ni ku relax tu. Staki nikutue on the wrong side, better to comply.

HMMMM asante for this

I told guys that I have it on good authority that all is not well with our country’s finances nikaambiwa na some busy bodies wakiongozwa na @gashwin eti am whining. Watu wapake lube ama waende waishi offgrid kabisa. Ni kubaya.

Ukiwa uko na mpesa shop hio commission pia wanataka tax?

Ni kubaya!

Watu walipe ushuru. Mambo ni kulia tu revolution, eti our taxes ohhh pesa zetu na hawalipi ushuru!

Yes. It is taxable.