Niliskia fibaya lakini haisuru.

:D:D:D:D
Your enemies aren’t always that far… Ungebeba sahani yako tu uoshe mikono ukiiangalia…
Pole Lakini

Never saw a mental ward pale Lions Sight First Eye Hospital. Ama mimi ndo sijui?

I realized after posting but too late. :D:D Umepeleka Tuk Tuk fumigation? wacha kusumbua scumpaka

Tuktuk iko chonjo mpaka na marashi ya Pemba na Zanzibar… Na sitasumbua tena mkumbwa [SIZE=1]n take care. Slip ups kama hizo make my day[/SIZE]

:D:D:D:D

Babe naona umejoin scumpaka:D
Nafeel poa:)

Yess, for you anything hun. :D:D I like that drawing

Hapa niko so lost…but could be scumpaka ni code betwixt the two of you. :cool::cool:

IT WAS A CODE!!! ISSASCUM!!!

Uko slow, :smiley: But adjust hiyo avatar yako kiasi at least uso uonekane vizuri.

Uyu ni guteee… I even improved his na hakutumia.

Having pets where food is served haiwezi leta hygiene issues?

not sure, but maybe

:D:D:D Kwa mambo ya tumbo hakuna ungwana. Yaani nugu inatoa kinyambis kwa sink inakuja straight kushambulia drumsticks zako? Such people should be charged with attempted murder. Lakini you also let your guard down because you thought you were among civilized people :D:D
https://i.kym-cdn.com/photos/images/newsfeed/001/056/730/597.jpg

Ndigithia @Phylgee Hata hujacheki avatar na already ushadecide ni gutee…
Bullseye on ya back now…:D:D:D

Haikosi huyo alikuwa kende mosi @Mundu Mulosi pole mdau. These mods ain’t loyal

what in hell was he supposed to do? carry the drumsticks in the pocket au ale bila kunawa?:D:D:D:D:D

:D:D:D:D:D

O RLY?:smiley: kama lunch niyakubuyiwa ungesho uyo cook aongeze drumsticks zingine saba.Uyu jamaa alipe

Lakini food matters huwa tricky, huwezi zusha direct but inakuchoma mbaya. Kuna time I was meeting a client hapo Dennis Pritt, we agreed we meet at 2.30pm. Hiyo asubuhi nilikuwa na site meeting ingine that ended at past noon, na since ofisi za architect zilikuwa around hiyo area ya Dennis Pritt, nikamshow twende nikamnunulie lunch, hawa watu lazima uwakatie kama tu dame ikiwa unataka akukumbule ki kazi. Got to the restaurant a few minutes to 2p.m coz. ya traffic, ule client wa 2.30pm ametuma text reminder ya meeting at 2.30pm. Itisha kuku choma na ma accompaniments. Kukuchoma imechelewa, inaingia past 2.20pm. I just grabbed one piece and left for the next meeting.
Kufika pale client is late, yaani nimewacha kuku kwa meza then uchelewe. Angekuwa mtu hanipatii kazi angekula a few choice words.