NIMEAMUA KUACHA PUNYETO

Hakika lisemwalo lipo. Huyu sie

Kweli umeacha fast food mkuu??

kwakuwa we ni mchoro au sio?

khaaaa

sio yeye huyoo

Vizuri sana kama umeamua kuacha

Ahaah basi freshi

Huku uko huru kujiachilia.

Haa haa haa kumbe hii n kama
Fb Ila kama kukohuru hv
Hakuna utamu bhana
Bora Jf yetu

Wazee wa puchu

Utamu upi unataka

Wanasema piga Nyeto ujinga ukutoke. #chaputa

Fanya mazoezi ya mwili sana,jiweke bize kadiri uwezavyo na baada ya kupumzika jioni kunywa angalau beer mbili utasahau kila kitu.

Duuuuu…!

Hongera kama ni kweli

Aisee! Unakosa uhondo
Nalog off

Hongera

Uliwah kujarbu

Nzuri na Mungu akujalie