Nimeanza hivi

why are u guyz furkin my birthday yawam acha tu but niko $GB bundle ya 36hrs so bado mi hufight

Mwenye hana mpango anitafute, pesa sio shida.
[ATTACH=full]141328[/ATTACH]

Na zile ufala zako acha ninywe konyagi slowly then pork

Hio ni malipo ya mafundi kwa mjengo. Aiyayayayaya! Hata jamaa wa mkono umemslice finje!

:D:D:D
Na Konyagi umepiga kwa angle gani? Coz if its proportional to your shoe, hiyo ni namba 5

Gay gay…ulikuwa na hiyo time yoote?
Ya kuangalia fiatu fya MTU na huoni fobe?