Nimecheswo

Wewe kazi yako ni kudoubt story za kila mtu.You’re the modern day Doubting Thomas…ghaseer wewe.
Maybe he took her out jana and is only telling us the story now.

Who didn’t hug as a child?

Rubeni, uvuraru vwakumedeka?

Hii ni mojawapo ya handles za admin nimeona leo zikitafuta pesa ya Christmas.

RULE 4: Stick to pamela. She will always kamua you.

:D:D:D:D:D noma sana. Leme find that tweet feed ya jamaa wamekuwa stuck to… ndio hiii. https://threadreaderapp.com/thread/1006116234251984897.html

weee enyewe lazima ucheze kama messi ukiji pata kwa hiyo situation:D

Mara ngapi mtambiwa mchape nduthi ndio mchukue decision zingine? labda ata PNC ingekushow uyu dame anafaa chapati dondo afta a serious session of smoking weed, hangefaa Hennessy… Labda ungekua unalilia 700/- si 7K!

Cab 8k kwani walitoka Timbuktu

Hiccups

next time ukiona hivyo,jua ni kunguru ,so,wekelea idea ya three some kwa meza since beste yake amekam.This should be done before the drinks start flowing,uone mbio watu watatoka wakijipa shughuli mwitu

Hapo ulibebwa ufala.

Hunt the friend chini ya maji and lay the pipe! The original kunguru,once she discovers she will give in haraka sana juu ya wivu

Na Sasa niulize do you know what class does your Hennessy belong to ama bora pombe