Nimejipata Muranga town

Karibu na thigio boys ama moi girls kamangu

Kamangu. Wii wa mbari ya uu wee mwanake? Nyoro? Kahura? Muigai? Nguthiru? Kamau?

Ingia inbox brare fuuuuuuuu…

Kuna ingine hapa inajita Empire Club. Not bad.

interesting things here have changed. Found a club worth a mention. Ina kaa ulikuwa hapa times za multi-party revolution.

Ndeiya Ngombe

Swafi nitaiweka in my to do list next time niko hizo area code

I hear nokras ni za mwenye magunas. ?

Badala ya kujiua na barid ya Murang’a kuna few places kabla ufike sagana kutoka makutano. One being havila

M

Nie ndi wa mbari ya Muhia wa kiriro, I have some relatives huko though very distant so I know the place well

Enda Hotel Nokras ama Stanley’s haven. Ukiniona ni salimie nikunulie Guinness baridi

Enda Muranga town hapo city centre club inaitwa Eddy’s bar and grill that mzee makes the best grilled pork, beef, goat.

:D:D:D

Na Gikambura ni wapi ama it’s still another name for the same area?

Iko karibu na bypass, ndeiya ni huko ndani.
Pia kuna Ma Ya Ihii kwakina @incognitus

Kwetu ni Canada Ngwambe.