Nimeupgrade

Aviator, wacha kutusumbua Na vitu ndogo ndogo

1 Like

What is wrong with mediatek @Jazzman? Nisaidie kufukuza ujinga priss

Nice phone

slow… nishazoea vitu za quick charge mimi. kitu naamka asubuhi naweka charge na nikinyora nioge ninywe chai iko 100% na inalast the whole day

ulibai wapi?

:D:D:D:D:D:D

1 Like

NV anajua aje @aviator hii ni nyangau ya multihandle chieth

Ikiwa ni ya 2gb bei ni sawa. Wholesale price ni 9200kshs

ungechukua lenovo vibe p1. hio bei, 4000mah battery, 4g etc …

1 Like

Usiskize story za hawa watu wa nyapdragon qwolkwom. Mediatek mambo yote inaitwa chip ya multitasking. Mediatek hoiyeeeee

1 Like

Aviator ni nyanyako unashidanga ukimtaja? Get a life.

1 Like

Ume sacrifice 10.5K ndio uweze kusafisha macho vizuri,I hope haita kudisappoint

2 Likes

Usidanganywe. Hiyo 4,000 Mah ni juu haina power saving features. Hiyo kitu ni guzzler ya power juu processor zake haziwezi kujishut down wakati hazitumiki. Camera pia zinakuwanga za ovyo, ukipiga picha inakaa mchoro ya water colour. Alafu malware kibao!!!

3 Likes