Ninunue zawadi gani?

Acha fujo smart tehteh… ( najua unatania

it’s a baby boy teh… ( nakumbuka tu it was December)

Cc @Smart911

Vyote Kwa Vyote mpe Hata 5000 watamnunulia maziwa

Mtoto ni wa jinsia ipi, ke au me ?

Kike

Watu wengi huku wamekuja kivingine

Mtoto wa miezi mitano unawaza zawadi, mbona ziko nying tu mfano vinguo vya kitoto, vyombo vyake kulia chakula, baby walker n.k
By the way muonekano wako huku utadhani waziri fulani hvi

Mwe umefika mbali mawaziri walikwenda shule mimi nilikuwa na allergy na umande. Asante sana kwa mawazo ya zawadi

Samahani kama nitakosea. Je kafanana na malkia au mfalme?
Kwa kuwa muda ni mfupi niungane na wali