NIPENI UTARATIBU NATAKA KUHAMIA KENYAA

[ATTACH=full]175288[/ATTACH]

…Haya ngoja …by kesho watch out for those odds.

Pambana na hali yako

Nimekutisha kidogo ushasema utanifakiiii wee kaka.mashoga hatuwakubali hapa kamwe.
Mara kwa mara utayapata matusi kama hayo ata kama hujafanya chochote.Zoea kaka brasa

Warushiwa mtama… wauona ukarimu…

True lakini potatoes zimechomeka! Chipo zitakua 300

Za Molo na Mwisho wa Lami je?.Hizo nafikiri bado ziko timam

Sawa kaka nimekuelewa… nimependa sana ushirikiano wenyu

Wueh!!! Tuseme kesho na kutwa hakuna any? Sawa Mkuu (tz edition) :smiley: wacha nishikilie papohapo…

Musee

Mimi Gwiji wa lugha kaka :D:D

Wee hizo hazitoshi.

Lakini if you got a farm there, congrats…Away home hakuna bro.

Mwanzo kabisa, jifunze kuandika jina la nchi yetu tukufu ukianza na herufi kubwa.

[SIZE=4]Kenya[/SIZE].

Weee, VS tangu upate cheo VS wenzako wamekukaribisha?

Don’t waste your monies tomorrow

:D:D:D I like it when Kenyans pretend to be polite. Is money being poured ?

Hata nimeshangaa kuona nimekuwa VS.
Asante sana kwa kunijulisha.

Its temporary, wait until politics take center stage…

Sasa chinja mbuzi na chupa kadhaa za mwarubaini tusherekee….

9

Vipi buda…
Bora tu umeingia kenya…bass

wazito kujifanya wakarimu nayo…acha nitegee kesho najua matusi zitakua zishaanza kutembea left right and centre. @T255 anakuaga sycophant wa Tanzanian government, ako wapi apatane na Resist ya TZ