Mkuu anataka hataki ndio nini?? Kama upo sure anakupenda angekuacha.
Acha kujipa moyo mkuu bila mafanikio, Bitches are everywhere
Shunie
June 14, 2018, 7:46am
22
Kwenye mapenzi watu hawataki kuambiwa ukweli.
The fact is, ukiona mtu anakwambia kuhusu break-up wakati hamjagombana, sababu ni:-
Amepata mwanaume anayemtomb.a vizuri kupita wewe; au
Amepata mwanaume anayempa hela kupita wewe; au
Amekuchoka kwa sababu ya issue zako za kijingajinga;
Don Nakazi nakazia nakazia
Future kwenye Mask Off anasema Chase cheque, don’t chase bitches.
Atakuwa amempata anemtomb.a vizuri eeeeh.?? toa ushauri bidada
Maybe you’re still young, but when she said about breaking up you should’ve asked for the reason, in a seriuos tone. There might be something wrong with u that u might take to ur next relationship; or something wrong with her, thats if she would give a lame excuse.
Either way it gets better with time however difficult it is now. Just let her go.
What a Good Reply Nigger…
[ATTACH=full]175909[/ATTACH]
:D:Dhaiwezi kuwa domesticated
iAlfred:
Iam a man with 23 yrs old… Nilikuwa na Girlfriend ambaye i was her first man…Tulipendana sana but Nashangaa laat week uyo girl Ametaka Kuachana na mimi na still tulikuwa hot ile mbaya… Akanambia A lets breakup…kweli i was sudenly upset… sikutarajia at the extreme our Love kama angetaka tuachane… Nilikubali Kishingo Upande!
Now its a week…siko Nae i feel Nakonda sina amani na mambo yangu hayaendi sawa tena… nimejaribu kumbembeleza she seems anataka hataki… But im sure the girl loves me… sasa sijui tatizo nini… Niko nae mbali kidogo this chick but she is homie…
Now i am asking you… kwa sasa sina girl… na sina hakika kama nitapenda chick yeyote… maana still i love her… so wadau should i move on or try to wait for her!
acha kuzingua unakuwa kama first love kwako pia …au ni first…we mwache naye ale flavour tofauti ndio muda wake…wewe ulitaka uwe wa kwanza na wa mwisho sasa atapata wapi experience…
vyenye you are feeling, ni kama sisi hapa bila jamii forums…
kev
June 14, 2018, 9:28pm
33
Kwenye mapenzi watu hawataki kuambiwa ukweli.
The fact is, ukiona mtu anakwambia kuhusu break-up wakati hamjagombana, sababu ni:-
Amepata mwanaume anayemtomb.a vizuri kupita wewe; au
Amepata mwanaume anayempa hela kupita wewe; au
Amekuchoka kwa sababu ya issue zako za kijingajinga;
Chizi wa Tz, hakuna bembeleza
Mwananke kama hakutaki muache aende zake…
Cc: @Mahondaw
innaa
June 15, 2018, 6:40pm
35
Kwenye mapenzi watu hawataki kuambiwa ukweli.
The fact is, ukiona mtu anakwambia kuhusu break-up wakati hamjagombana, sababu ni:-
Amepata mwanaume anayemtomb .a vizuri kupita wewe; au
Amepata mwanaume anayempa hela kupita wewe; au
Amekuchoka kwa sababu ya issue zako za kijingajinga;
mwanafunzi wangu next week ntakuanzishia darasa la lugha na tafsida
kashakupatia msaidizi mkuu, yani hapo ujue kunamtu anamzuzua so mchane makavu then ujue msimamo wake katika hilo
Mwalimu ni samehe, ila hawa watoto tukiwafunda kwa kuzunguka zunguka hayatawaingia kichwani.
Sorry for this, thought like he needed to be told in the language he will understand.