Nissan CUBE !

Like @RetiredVirgin amesema; If you want safe buy a volvo or mercedes. Otherwise hiyo ni tuktuk tu kawaida wacha maneno mingi ya safe/ room/ inakunywa/ uber/ takataka…enda ununue tuktuk

Unatemanga mate ya nani?:smiley:

Nunua Toyota Sienta.
Cheap, very roomy and spacious.
You can carry up to 8 people comfortably. Kitu hunibore ni hizo macho zake kubwa za round.

hizo unauziwa 550 ongea zikuje hadi 480 ukilemewa 500. Otherwise for 740 just buy a kck axela/civic or something else not nissan.

I weep for my countrymen.
What the hell is this?

This is a royco cube thread jakipash hapana sumbua sisi :D:D:D

:D:D:D:D

@admin kujia hii avatar!!!

shina shamba ya miwa!

Bouss, 740k for cube ni ripoff. Kama ni exjapan, spend 500k at most.

Ama kama wewe ni mtu ya kubeba vitu sana nunua probox. lakini karau itasumbua

I wud rather he buys a vitz new shape.

Tunajua unapanga vile utabeba wasichana sita hapo ndani mkienda westie. After a few days you will realise you needed a more practical car. Ukitaka space kubwa na gari ya hustle nunua toyota sienta.

2012 haina macho za round
[ATTACH=full]214267[/ATTACH]

OK, this one looks nice.

Gari zinakaa kitchen appliances hapana boss

hiyo ni price ya wish, subaru ama mark x… haka kakitu ni ka wamama

jakipash niuzie ile ford

Siuzi hii nyumba ya kuku.

Hio budget inatosha Mobius pick up mpya

Jua kuspell kwanza ndio ukuje kuomba mawaidha hapa,meffi terker terker ghasia