nko kwa nyoka na sisumbui

Ati headline inasema niko na nyoka na sisumbui ngoja ikuume

Kwani ni mkimbiaji?

I once visited a girl in her house along Thika road while high as a kite, did the jiggy dance then asubuhi kuamka naona suti na large shirts ziko hanged kwa wall. Their sizes terrified me even more. Kumuuliza kwani kuna mzee, she retorted that alikufa kwa accident. Lies. nilitoka hapo mbio sana never to visit her place again

:D:D

Ungekuwa marehemu pia wewe.

Elders nina swali… Je nkilala huku iko sida? Coz alrdy tumevaa nguo za kulala na itakua rude kuacha vitu bila ku double threshold.
[ATTACH=full]95982[/ATTACH]

Hizo miguu zinakaa za serena William,

piga coomer picha vizuri, serree

My friend ukiwinda rudi na food home kwako…

hahaha unataka kuwank?

Hizo godfather kofia si za sponsor?

yeah, nisafishe mecho Na picha yako ya thighs tu pale inbox.

Chungana na hayo magoti bro. Huyo akikuchapa goti tutakupata mbagathi ukiongezwa maji kwa mwili

hehe knobby knees

Bradhee c unipige thru pass hii maneno
…usiwe mchoyo

Yaani ulikuwa umebeba ‘nguo za kulala’?

:D:D:D
Shait.

Siku za wazee, madame hawakuwa na nyumba zao. Times have changed.

Kamua vitu gathee. Kifo ni moja

swaffi chief jagger