NTSA BIKE SQUAD

Poa sana. Lakini ikiitisha chuma unajikuna kidogo.
Bora usirukishe service.
Mafuta ni kusip tu.
There are short cuts I take with my 89 that I wouldn’t dare take with this one.

Asande sana kwa hio habari…

@introvert Applies for the said job

They might want to breathalise me in the morning…:D:D
I won’t make it.

Niliona imeandikwa ss ama sr na mwenyewe hakutaka hata tuiguse.
Si sasa utaniambia way forward esp saa huu uchaguzi iko karibu kwa muhindi hakuna activity mingi

Aiyayaa… Baba Ochi kumbe wewe ni lightweight? Ile siku utanipiga sweep utaona moto.

:D:D
Apan chesa.
Weka hekaya nikupige sweep.

Siwaombei mabaya lakini hiyo bike sio healthy kwa askari wa kenya. tafadhali wapewe honda 100cc ata kama wanatushikanga. they are our relatives back at home.
Hao wa picha ya pili wanakaa hongo sana.

Hehe usitense

Not sure what these bikes are meant tor, but sioni zikiwa healthy kukimbiza nayo anyone. Ama watafanya nini ukikataa kusmama? Watakick gari usimame like this?

https://www.youtube.com/watch?v=yPiDqZ-0q9k

This is a waste of time and money. The most I have seen those Peugeot cars do is race guys to pick up money. I once noted how an NTSA car chased after a chinku in a Prado becasue the chinku was overlapping. Not before a number of guys started pointing at them and blocking their way.

Na kandarasi yangu?

Zile za traffic cops ndio hunibamba.

800cc is too powerful hapo lazima wapelekwe valentino rossi academy ndio wajue kuhandle hio power