Numbisa, Coco channel, Miss Natafuta,

Hahahahah ugenini huku ubuyu haunogi

Dada maisha yafaa nini bila ubuyu???

Na ubuyu wa ugenini full kujishtukia tusijetimuliwa daah tuvumilie tu. June 30 kutakua na ubuyu wa wema tuone kama kapungua kwa kukata utumbo au ulikua uongo tu wa da trump

Hamna haka kajf kadogo hakuna shida
Da trump nae naona upweke unamsumbua katoka kwenye harakati karudia tabia zake

Da trump bado ana ndoto za kuolewa,kwenye kichambo chake kimoja kasema anasubiria avae pete ili aringishie anapoishi

atakaemuoa huyo mwajuma ndala ndefu ana kazi sana

Hahahahha kabisa

Angeolewa na diamond ingependeza sana ili akachambane vizuri na mama dangote na Esma :D:D:D

Tununu angekufa kwa presha maana hapo alipo tayar anajiona ni mke halali wa dai

napenda mno chapati…halafu hii yenyewe ukiila ni laiiiiini kama watafuna bigijiiii

Ushakula chapati za nazi?

mmh sijawahi
atakaenipikia izo naweza kuoa kabisaaaa

ingependeza aolewe tu ila awanyooshe yule mama mkwe na wifi
mke wapi yule mwenyewe anafichwa kama makalio

Basi huyo aliyefanyiwa gastric bypass ana Penda kula huyo na anasahau kuwa tumbo limekuwa dogi. Shurti kwa kutapika

@Nalendwa where you at??? Miss you big time!

Nasikia anapenda mbuz katoliki na pombe kwa sana atatesekaje kama kweli kafanya huo upasuaji aiseee

Sifia na viazi basi

Yani umenichanganya kishenziii

Hahahaha pipiilee bana.nimekuchanganyaje shosti?

Ntolilo limenichanganya.

Shemeji yako yuko wapi?