Nyeri

Is Bahati chicken still there ? Kuku na mahindi boiro, mayai, chapati, sausage, cabbage, maharagwe, mutura, ugali na chips on one massive tray.

10% assistance. The rest ni mabroom tu ziko kazi.

Alafu chunga transformer yako

Depends on your taste. 10th street or white rhino ni mzuri

:D:D:D:D hapa naona ni kama watu wa kiabu mametusiwa ki plani lakini isokey

Haidhuru, nyumbani ni nyumbani though ni kweli nyeri does not grow at all.

Na 10th street ni wapi?

hapo opposite hill rock…karibu equity ya juu uingilie ka-kichochoro kako hapo…

I had an assignment there for one week last year and I can tell you for freethat town is boring.
By six all shops start closing even the major ones in town center by 7:30 the town is dead. .

Kama town haina Malaya si town ama?
Going by the comments.
Mwenye kwenda aende afanye biz yake na ajipe shughuli.
Madame wamejaa Nairobi kwani wamewashinda jameni.
My roots are in nyeri though it has been ages now.

I cant relate, where is matope in Nyeri?