Nyuzi nilizozimiss jf

nimeimiss jf balaa

stori za lara 1 nikizimiss sijui kama huku yupo

Jinsi ya kutafsiri ndoto uliyoota

Ule uzi uliacha makovu mengi sana kwa wadada wa Jf

Hahaahaaa…
Wakubwa mnafaidi eehhh…

Cc: Ontario

Leo wametuhifadhi huku ugenini… tehteehhh

Watu walikuwa wanatoa povu balaa hapa

Ule uzi wa nyoka “black mamba” ukiongozwa na mkuu “Imhotep”

Ule wa kupata likes

hatar…

nshida saiv ngoja tuwe wadogo tu. japo naona kuna uzi mwngne umeanzishwa…

Kiranga sio atheist ni non-believer

Uzi wa FOREX

Uzi wa forex[COLOR=rgb(20, 20, 20)] hasa baada ya mambo kujiset vizuri

Nasema hivii nirudishieni pesa yangu, nimenyoa Rasta zangu nikaleta CV na sijaitwa kwenye interview si ujinga huu

:D:D:D huu uzi kiboko

:D:D:D:D:D

Uzi wa kupeana likes comment chochote upate like:(:(:frowning: :-JEMBEKILO

Hakuna uzi wenye raha kama huu,i miss home

Uzi wa kupeana likes
Jf usiku wa manane